Taasisi ya Tunu Pinda Youth Foundation (TPYF) ilifanya Kongamano la Mafunzo ya Siku Moja Ikikutanisha Vijana 200 wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Ndaki ya Elimu katika Elimu ya Ujasiriamali (yaani ufugaji kuku, samaki,ng’ombe, nyuki na kilimo cha zabibu) Jijini Dodoma. Kongamano hili limefanyika
Mizengo Pinda Farm, Zinje, Dodoma—Shambani kwa Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda (Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.#KilimoKinawezekana