Heri ya Miaka 59 ya Muungano

0 Comments

Taasisi ya Tunu Pinda Youth Foundation inaungana na Watanzania wote kuadhimisha MIAKA 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mnamo tarehe 26 Aprili, 1964; Tanganyika na Zanzibar ziliungana na Nchi ya Tanzania ikazaliwa. Pongezi kwa Wasisi wa Muungano huu Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Pongezi pia kwa Wanzania wote kuweza kuudumisha Muungano hatimaye umefikia Miaka 59.

Leave a Comment

Your email address will not be published.