Kongamano la Mafunzo ya Siku Moja Ikikutanisha Vijana 200 wa Chuo Kikuu Cha Dodoma

1 Comment

Taasisi ya Tunu Pinda Youth Foundation (TPYF) ilifanya Kongamano la Mafunzo ya Siku Moja Ikikutanisha Vijana 200 wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Ndaki ya Elimu katika Elimu ya Ujasiriamali (yaani ufugaji kuku, samaki,ng’ombe, nyuki na kilimo cha zabibu) Jijini Dodoma; Zinje kwa Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda (Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

#KilimoKinawezekana

1 Comment

  1. https://stevieraexxx.rocks/city/Discreet-apartments-in-Petah-Tikva.php
    May 16, 2023

    I have to thank you for the efforts youve put in writing this blog. Im hoping to check out the same high-grade blog posts by you later on as well. In fact, your creative writing abilities has encouraged me to get my own website now 😉

Comments are closed.